CREDIT: Ting Mugoa (TBC) #keepwatchingmavalatv ...
Mashujaa FC ya Kigoma imepanda daraja kucheza ligi kuu ya NBC msimu ujao kwa kuichapa na kuishusha daraja Mbeya City ...
NDOTO YETU ITATIMIA kwa uwezo wake Mungu. ASILI YA SOKA NI KIGOMA, Ndio! Timu yetu ya Mashujaa Lake Tanganyika FC Leo inacheza mchezo muhimu katika kampeni yake ya kwenda Ligi Kuu ya Tanzania. Tunacheza na Mbeya City jijini Mbeya. Mchezo wa kwanza Mashujaa FC tulishinda 3-1.β¦
KIGOMA LOADING TO NBC PREMIERE LEAGUE!!! Chama la Nyumbani Mashujaa ushindi ni wetu Na mechi tunaitaka Mbeya city are you ready? πͺπ
Mashujaa wa Kigoma wanacheza na Mbeya City leo. Wapo uwanjani saa hizi na game ni saa 10. Sijui wanataka nini...ππ
Tunawatakia kila la heri Mashujaa Fc katika mchezo wa mkondo wa pili wa Playoff dhidi ya Mbeya City utakaochezwa katika Uwanja wa Sokoine - Mbeya. @kigomaras @KigomaUjijiMC #mapigonamwendo #mainfmtanzania #kigoma #tumekufikia
... π¨ | Kila bao laki sita. WakatiI mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akitangaza kiingilio bure katika mechi ya marudiano ya play-off kati ya Mbeya City na Mashujaa, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amejibu mapigo akitangaza Sh 600,000 kwa kila bao
KUTOKA MBEYA: #PLAYOFF KUIONA MBEYA NI BURE: βWananchi waje na miguu yaoβ maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akiwajuza wakazi wa mkoa huo kwenda kuutazama mtanange wa #PlayOff kati ya Mbeya City dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma ndani ya dimba la Sokoine. #PlayOff