Ze Citizen's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“Mtanzania pekee wa Kawaida” Report User |
KUTOKA MBEYA: #PLAYOFF KUIONA MBEYA NI BURE: “Wananchi waje na miguu yao” maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akiwajuza wakazi wa mkoa huo kwenda kuutazama mtanange wa #PlayOff kati ya Mbeya City dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma ndani ya dimba la Sokoine. #PlayOff