SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1
Mpenja TV leo Novemba 22, 2021 imefanya mahojiano maalumu na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Hassan Bumbuli, ambaye amezungumzia mambo mbalimbali. Bumbuli pia amejibu kuhusu taarifa ya Ofisa Habari wa Geita Gold FC, Hemed Kivuyo, anayedai wametuma barua Yanga wakiomba kujua bei ya kuwanunua baadhi ya wachezaji, Feisal Salum na Mukoko Tonombe. Fuatilia mahojiano haya yakifanywa na Alwatan Abdulazi. #YangaSC #HassanBumbuli #FeisalSalum #MukokoTonombe #MpenjaTV
KICHUYA AWAKA "NIKISEMA TUMEONEWA NITAFUNGIWA MECHI, YANGA TULIWABANA KILA SEHEMU..." 🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC. Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥 Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa. #NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV