KOCHA WA SIMBA AGEUKA KUWA 'MBOGO' BAADA YA SARE NA LIPULI FC
KOCHA WA SIMBA AGEUKA KUWA 'MBOGO' BAADA YA SARE NA LIPULI FC

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 SIMBA SC wameshindwa kuutumia vizuri nafasi ya kucheza nyumbani, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Lipuli ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Sare hiyo inamaanisha Simba SC inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 23 baada ya mechi 11, ikiwazidi kwa pointi mbili tu mabingwa watetezi, Yanga ambao nao jana walilazimishwa sare ya 1-1 na Tanzania Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliochezeshwa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, aliyesaidiwa na Khalfan Sika wa Pwani na Vincent Mlabu wa Morogoro iliwachukua dakika 15 tu Simba kupata bao la kuongoza, lililofungwa na kiungo wake mkongwe, Mwinyi Kazimoto Mwitula. Kazimoto alifunga bao hilo baada ya kupokea pasi ya kiungo mwenzake, Muzamil Yassin mbele ya mstari wa kuugawa Uwanja na kutembea nayo hatua mbili kabla ya kumtungua kwa mpira wa juu kipa wa Lipuli, Agathony Mkwando aliyetokea kujaribu kuokoa. Simba ilipata bao hilo ikitoka kupoteza nafasi tatu nzuri za kufunga mabao kupitia kwa nyota wake John Bocco, Shiza Kichuya na Muzamil Yassin. Lipuli walifanikiwa kusawazisha bao hilo dakika nne baadaye kupitia kwa Nahodha wao, Mghana Asante Kwasi aliyefunga kwa shuti la mpira wa adhabu. Baada ya baio hilo, timu zote ziliendelea kushambuliana kwa zamu, lakini ni ndiyo waliotengenewza nafasi nyingi na kushindwa kuzitumia. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..



Kichuya ,Ajibu Waibua Mapya Ligi Kuu
Kichuya ,Ajibu Waibua Mapya Ligi Kuu

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 KWA Sasa majina ya Shiza Kichuya wa Simba na Ibrahim Ajibu wa Yanga ndiyo yanayokimbiza kutokana na kazi yao wanayoifanya wakiwa uwanjani . Kwa Nyakati tofauti washambualiaji hao ambao walicheza pamoja na simba msimu uliopita wamefunga mabao matano. Kila mmoja ameisaidia timu yake mwejye mechi zake tofauti wote wameshacheza mechi tisa hadi sasa ambapo mabao hayo wameyafunga kwenye viwanja vya Dar na vile vya mkoani . Ajibu yeye amefunga mbele ya Njombe Mji (Njombe) ,Ndanda Dar Kagera Sugar na Stand United (Kagera) na Stand United Shinyanga akifunga mara mbili . Kwa Kichuya amefikisha mabao matano kwenye mechi dhidi ya Ruvu Shooting (Dar), Mbeya City (Mbeya) ,Kwenye kila Mechi amabzo wamefunga timu zao zilizoondoka na pointi tatu au moja. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...



Azam TV-  Goli la Simba SC vs Mbeya City
Azam TV- Goli la Simba SC vs Mbeya City

Shiza Kichuya aliandikia Simba goli pekee la mchezo huo katika dakika ya 7 kwa mkwaju maridhawa.



ANGALIA SIMON MSUVA ALIVYOIKOA TANZANIA,TANZANIA VS MALAWI
ANGALIA SIMON MSUVA ALIVYOIKOA TANZANIA,TANZANIA VS MALAWI

TAZAMA goli la simon msuva wakati timu ya taifa ya TANZANIA ikicheza dhidi ya timu ya taifa ya MALAWI MBWANA SAMATA,KICHUYA,AISHI MANULA,NIYONZIMA,emanuel okwi mechi za kirafiki. HIGHLIGHTS TANZANIA VS MALAWI INTERNATIONAL FRIEND MATCH. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "SAMATA AZIDI KUNG'ARA ATUPIA DHIDI YA CLUB BRUGGE" https://www.youtube.com/watch?v=p7buAw61NnI -~-~~-~~~-~~-~-



Azam TV - Bao la Kichuya mtanange Mbao FC Vs Simba SC
Azam TV - Bao la Kichuya mtanange Mbao FC Vs Simba SC

Mchezaji wa Simba SC, Shiza Kichuya, ameitanguliza mbele timu yake kwa kufunga bao moja kwenye mtanange wa VPL dhidi ya Mbao FC.




« Previous


Popular Tags

#Best Goalkeeper Saves  #Goalkeeper Saves  #Counter Attack Goals Football  #Lionel Messi  #Miami Heat  #Neymar  #Ronaldinho  #Stephen Curry  #Cleveland Cavaliers  #Lionel Messi  

Popular Users

#ArianaGrande  #TheEllenShow  #rogerfederer  #lindseyvonn  #akshaykumar  #_BAnderson30_  #TimTebow  #AntDavis23  #SHAQ  #cnnbrk  #rioferdy5  #criscyborg  #nytimes  #BMcCarthy32  #Cristiano