Uchambuzi CLOUDS FM: wapagawa na PENATI za YANGA Kuifunga GEITA, watoa HESABU ZA UBINGWA mwaka wao
Uchambuzi CLOUDS FM: wapagawa na PENATI za YANGA Kuifunga GEITA, watoa HESABU ZA UBINGWA mwaka wao

Uchambuzi CLOUDS FM: wapagawa na PENATI za YANGA Kuifunga GEITA, watoa HESABU ZA UBINGWA mwaka wao #hajimanara #subscribe #millardayo #mpenjatv #sports #simba #yanga #diamondplatinumz #geitagold #yangatv #yangasc #azamfc #azamtv #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022



Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022
Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022

YANGA vs GEITA GOLD - Yanga SC imetinga nusu fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa mikwaju ya penati 7-6 baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika dakika 90 za mchezo. Geita walitangulia kupata bao kupitia kwa Offen Chikola dakika ya 88 na Yanga kuchomoa kwa penati dakika ya 90+4 kupitia kwa Djuma Shaban... Laki mikwaju ya penati ikaamua, Yanga wakipata penati saba na kukosa moja huku Geita wakipata penati 6 na kukosa mbili. Waliofunga penati za Yanga ni Yanick Bangala, Jesus Moloko, Fiston Mayele, Saidi Ntibazonkiza, Djuma Shaban, Bakari Mwamnyeto na Dickson Job huku penati ya golikipa Djigui Diarra ikitoka nje. Upande wa Geita waliofunga ni David kameta Duchu, George Mpole, Yusuph Kagoma, Adeyum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan huku Juma Mahadhi na Maka Edward wakikosa penati zao.



TAMBO ZOTE KWISHA MSEMAJI GEITA GOLD AWA MPOLE/ "ILA SISI YUMECHEZA MPIRA MZURI"..
TAMBO ZOTE KWISHA MSEMAJI GEITA GOLD AWA MPOLE/ "ILA SISI YUMECHEZA MPIRA MZURI"..

Leo March 06/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 🔥🔥ni Vita ya Matajiri wa Dhahabu Geita Gold dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria Yanga Sc waite "WANANCHI". Itakuwaje leo Wananchi Wataendeleza walipoishiaa au mambo yatabadilika??... Mpenja Tv tupo hapa Mkoani Mwanza Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #GeitaGoldVsYangaSc #GeitaGold #YangaSc #MpenjaTv



#Live: Geita Gold fc Vs Polisi Tanzania fc , Magoli Yote Tazama hapa
#Live: Geita Gold fc Vs Polisi Tanzania fc , Magoli Yote Tazama hapa

#geitagold #polisitanzania #nbcpremierleague #hengetv #live




« Previous Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Derrick Rose  #Best Goals  #Best Champions League  #Zlatan Ibrahimovi  #Michael Jordan  #Manuel Neuer  #Miami Heat  #Counter Attack Goals Football  #Paul George  

Popular Users

#MileyCyrus  #rioferdy5  #BellaTwins  #LilTunechi  #AdamSchefter  #SHAQ  #BBCBreaking  #iamsrk  #baseballpro  #obj  #YouTube  #wizkhalifa  #OleksiakPenny  #DanicaPatrick  #Harry_Styles