“Tunajua tunakabiliana na mpinzani wa aina gani. Simba sio timu rahisi, haijalishi kama tumewafunga raundi ya kwanza. Wanafaida ya kucheza mechi mbili za kimataifa na wanatafuta pakuzindukia hawajapata matokeo mazuri.” Hasheem Ibwe, Kaimu Afisa Habari wa Azam FC #EmuTuone📌