|
Tagato James 's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“Sportscaster| Presenter and Commentator” Report User |
NCHI itakuwa kazini leo dhidi ya Niger pale Benjamini Mkapa. Mechi itakuwa Live ndani ya @Tv3Tanzania ya @startimesbongo 10:00 |Tanzania vs Niger 🏟️Benjamin Mkapa
“Tunajua tunakabiliana na mpinzani wa aina gani. Simba sio timu rahisi, haijalishi kama tumewafunga raundi ya kwanza. Wanafaida ya kucheza mechi mbili za kimataifa na wanatafuta pakuzindukia hawajapata matokeo mazuri.” Hasheem Ibwe, Kaimu Afisa Habari wa Azam FC #EmuTuone📌