Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.
Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.
Clatous Chama amefunga magoli mawili muhimu dakika ya 57 na 73, Simba ikipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Mashujaa FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa #AzamComplex, Chamazi .
https://www.youtube.com/@Wasafi_Media?sub_confirmation=1 WATCH WASAFI TVπΊ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM π» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86.
#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86. Haya hapa magoli yote matano....