FADLU AFICHUA DOZI ZITO ALIYOWAANDALIA RS BERKANE KESHO, KAPOMBE AWASHA MOTO MKALI UBINGWA WA CAFCC
FADLU AFICHUA DOZI ZITO ALIYOWAANDALIA RS BERKANE KESHO, KAPOMBE AWASHA MOTO MKALI UBINGWA WA CAFCC

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kikosi chake kiko tayari kwa mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco huku akisisitiza kuwa wachezaji wake wameshajifunza kupitia maumivu ya dakika 20 za kwanza kule Morocco. Akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar, Fadlu amesema: “Ndiyo, tulikuwa tumejiandaa kikamilifu kwa mechi ya kwanza. Tulikuwa tumepanga kila kitu kiufundi na kimkakati, lakini jambo kubwa zaidi lilikuwa kuwapa wachezaji uzoefu wa dakika zile 20 za mwanzo kwa sababu unaweza kuwa na mpango mzuri lakini hali halisi ya uwanja na mazingira ya fainali huwezi kuifundisha darasani. Lazima waishi nayo, wapitie, na wakue kupitia hilo.” Katika mechi wa kwanza iliyochezwa Morocco, Simba ilikubali kichapo cha mabao 2-0. Hata hivyo, Fadlu anaamini kuwa kikosi chake sasa kiko tayari kwa pambano la marudiano, licha ya mchezo huo kuhamishiwa Zanzibar badala ya uwanja wao wa nyumbani wa Benjamin Mkapa. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



Tazama Rs Berkane Walivyowasili Zanzibar “Wamebeba Vyakula, Maji & Wakataa Basi Walilopewa Na Simba”
Tazama Rs Berkane Walivyowasili Zanzibar “Wamebeba Vyakula, Maji & Wakataa Basi Walilopewa Na Simba”

Simba Vs Rs Berkane Simba Vs Berkane Simba Vs Berkane Live Simba Vs Berkane Leo Simba Vs Berkane Live Leo Simba Vs Berkane Leo Live Simba Vs Berkane Highlights Simba Vs Berkane Goals Simba Vs Berkane 0-0 Simba 0-0 Berkane Kikosi Cha Simba Simba Leo Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo #SimbaSc #AzamTv #CafCc #Simba #AhmedAlly #MoDewji #RsBerkane #Berkane



CAF WATANGAZA MABADILIKO RATIBA YA MECHI YA SIMBA VS BERKANE #youtube #short #trendingshorts #shorts
CAF WATANGAZA MABADILIKO RATIBA YA MECHI YA SIMBA VS BERKANE #youtube #short #trendingshorts #shorts

CAF Watangaza Mabadiliko Ratiba ya Mechi ya Fainali Kati ya Simba SC Dhidi ya RS Berkane CAFCC



MANARA AFUNGUKA SIMBA KUSHINDA 1-0 DHIDI YA STELLENBOSCH #youtubeshorts #trendingshorts #shorts
MANARA AFUNGUKA SIMBA KUSHINDA 1-0 DHIDI YA STELLENBOSCH #youtubeshorts #trendingshorts #shorts

Alichokisema MANARA Baada ya SIMBA Kushinda 1-0 Dhidi ya STELLENBOSCH Mechi ya Nusu Fainali CAFCC



SIMBA SC YAONYWA? MASTAA WA STELLENBOSCH WAFUNGUKA MAANDALIZI YAO KABLA YA NUSU FAINALI YA CAFCC
SIMBA SC YAONYWA? MASTAA WA STELLENBOSCH WAFUNGUKA MAANDALIZI YAO KABLA YA NUSU FAINALI YA CAFCC

Kwa mara nyingine tena macho na masikio ya wapenda soka la Afrika yataelekezwa visiwani Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba SC ya Tanzania itakapoumana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la CAFCC utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Aprili 20, 2025. Katika kuelekea mchezo huo wa kusisimua, wachezaji wa Stellenbosch FC wameelezea maandalizi yao wakianzia ugenini katika mashindano haya. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



KIKAO KIZITO, TFF Watoa MAJIBU Baada ya SIMBA Kugoma Kucheza Mechi Dhidi ya YANGA, Mechi KUAHIRISHWA
KIKAO KIZITO, TFF Watoa MAJIBU Baada ya SIMBA Kugoma Kucheza Mechi Dhidi ya YANGA, Mechi KUAHIRISHWA

KIKAO KIZITO : Tazama Kinachoendelea TFF Baada ya Kufanya KIKAO, Mechi ya KARIAKOO Kusogezwa Mbele #simbasc #yangasc #kariakooderby #simbaleo #kikosichasimbaleo #simbasc #simba #coastalunion #kikosichayangaleo #yangasc #pambajiji #ligikuutanzania #magoliyoteleo #nbc #azamfc #ligikuu #tanzania #yanga #azamtv #trending #youtube #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf #cafcc #cafcl #harmonize #diamondplatnumz #alikiba #wcb #wasafi #millardayo #wasafitv #music #football #news #sports #samatta #novatusdismas #ccm #chadema #zanzibar #africa #cecafa #live #ngaiyajamii #fifa #messi #ronaldo




« Previous Next »


Popular Tags

#Chris Paul  #Chicago Bulls  #Paul Pogba  #Miami Heat  #New York Knicks  #Goalkeeper Saves  #Lionel Messi  #Zlatan Ibrahimovi  #Goalkeeper Saves  #Best Ball Controls  

Popular Users

#MikePereira  #NiallOfficial  #NASA  #TheEllenShow  #kobebryant  #realDonaldTrump  #BellaTwins  #nytimes  #rogerfederer  #nfl  #Oprah  #CNN  #rioferdy5  #twitter  #BeingSalmanKhan