‘’UJIO WA BALLA CONTE NI TOFALI  LA KWANZA LA UBUNGWA YANGA’’
β€˜β€™UJIO WA BALLA CONTE NI TOFALI LA KWANZA LA UBUNGWA YANGA’’

Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2025 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm



Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte
Yanga yatoa siri jinsi ilivyomnasa kiungo Moussa Balla Conte

β€œβ€¦tuliweka kiwango kizuri cha fedha kumshawishi mchezaji na klkabu yake” Nneno la Ally Kamwe kuhusu usajili wa kiungo Moussa Balla Conte ambaye leo ametua rasmi Jangwani kwa mkataba wa miaka mitatu… Kamwe ameeleza jinsi ilivyokuwa ngumu kumpata na jinsi walivyoweza kumshawishi yeye na klabu yake licha ya kuwa na ofa nyingi….. Kuhusu hatma ya Khalid Aucho, Kamwe amesema majibu yatatoka Julai 20 baada ya kupokea ripoti ya CEO wa klabu hiyo… Mwisho, Ally Kamwe anatoa ujumbe kwa walioumizwa na usajili huo akiomba kusajiliwa na timu inayohitaji mchezaji mwenye jina la Conte…. #YangaSC #Usajili #BallaConte




« Previous Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Best Champions League  #Gareth Bale  #David Silva  #LeBron James  #Football Defensive Skills  #Football Defensive Skills  #Sergio Aguero  #Boston Celtics  #Best Goals  

Popular Users

#floydmayweather  #JohnCena  #KDTrey5  #katzm  #twitter  #TimTebow  #Kaepernick7  #TheEllenShow  #realmadrid  #MichelleDBeadle  #narendramodi  #Buccigross  #LilTunechi