TFF yasema bado wanasubiri muongozo wa CAF kuhusu hatma ya mchezo wa Namungo na Al Rabita
TFF yasema bado wanasubiri muongozo wa CAF kuhusu hatma ya mchezo wa Namungo na Al Rabita

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Masoko wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Boniface Wambura amesema TFF bado inasubiri muongozo wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuhusu maamuzi ya mwisho juu ya mchezo wa awali mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Al Rabita dhidi ya Namungo uliopangwa kupigwa jana kwenye dimba la Chamazi Complex. CAF ilitoa taarifa mapema jana za kuufuta mchezo huo kutokana na kwamba Al Rabita hawakukamilisha taratiba muhimu kabla ya mchezo husika kufanyika. #CAF #NamungoFC #TFF #CAFCF Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz





Popular Tags

#Shot Goals  #Goalkeeper Saves  #Miami Heat  #Kobe Bryant  #Russell Westbrook  #Best Champions League  #Shaquille O'Neal  #Amazing Solo Goals  #Tristan Thompson  #Chris Paul  

Popular Users

#UKCoachCalipari  #BaileyLAKings  #BeingSalmanKhan  #NiallOfficial  #LAKings  #hunterpence  #wizkhalifa  #cnnbrk  #nfl  #rioferdy5  #rogerfederer  #nyt4thdownbot  #blakegriffin23  #TimTebow