๐Ÿ›‘#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12
๐Ÿ›‘#LIVE YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI AZIZ KI, KOUTIAMA KOMBO NA WENGINE HAWA, YAACHANA NA HAWA WOTE 12

#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ,Samba Konรฉ (23) โœ…Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โŒKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja ๐ŸŸข๐ŸŸก HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC ๐Ÿ”ฐ 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Chadrack Boka 4.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Frank Assink 5.๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Balla Contรฉ 6.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 7.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 8.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mohamed Doumbia 9.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 10.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 11.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua 12.๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ Buba Jammeh 13.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Lassine Kouma 14.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Cรฉlestin Ecua



YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI MPYA NI BALAA AZIZI KI,GUILLERMO MZUNGU NDANI,YAACHANA NA WACHEZAJI HAWA
YANGA YASHUSHA MASHINE HIZI MPYA NI BALAA AZIZI KI,GUILLERMO MZUNGU NDANI,YAACHANA NA WACHEZAJI HAWA

#Yangasc #Tetesizausajilimpya #WachezajiwapyaYangasc #alikamwe #hansrafael #Uchambuziwamichezo #mchomemapovu #Enghersisaidi Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Azizi Ki 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United. 4.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ,Samba Konรฉ (23) โœ…Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โŒKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 5. ๐ŸšจTaarifa za usajili zinaeleza kuwa klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 6. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja



Crazy International Friendlies Results ๐Ÿ”ฅ | Cote d'Ivoire 4-0 Korea | Senegal Win | Burkina Faso 5-0
Crazy International Friendlies Results ๐Ÿ”ฅ | Cote d'Ivoire 4-0 Korea | Senegal Win | Burkina Faso 5-0

Big wins in international friendlies! Cote d'Ivoire dominate Korea Republic, Senegal beat Peru, and Burkina Faso smash 5 goals ...



Burkina Faso vs Guinea Ecuatorial: ¡Final de infarto! #shorts
Burkina Faso vs Guinea Ecuatorial: ยกFinal de infarto! #shorts

Burkina Faso derrota a Guinea Ecuatorial en un final de infarto. Sanievo adelanta a Guinea, pero Minoango y Tapsoba le dan la ...



HIGHLIGHTS | Burkina Faso ๐Ÿ†š Equatorial Guinea | #TotalEnergiesAFCON2025 - Group E
HIGHLIGHTS | Burkina Faso ๐Ÿ†š Equatorial Guinea | #TotalEnergiesAFCON2025 - Group E

For more videos, visit: www.youtube.com/user/MyAfricanFootball - Like us on Facebook: ...



#Borderlines - Guinea Bissau Coup & West Africa's Democratic Recession
#Borderlines - Guinea Bissau Coup & West Africa's Democratic Recession

Borderlines - Guinea Bissau Coup & West Africa's Democratic Recession. Communication Prof at Nazi Boni University, Burkina ...



Italy vs Burkina Faso Highlights | FIFA U-17 World Cup Qatar 2025
Italy vs Burkina Faso Highlights | FIFA U-17 World Cup Qatar 2025

Italy vs Burkina Faso: FIFA U-17 World Cup Qatar 2025 (November 21, 2025) Follow the FIFA U-17 World Cup Qatar 2025: ...




Next »


Popular Tags

#Ronaldinho  #Neymar  #Zlatan Ibrahimovi  #Franck Ribery  #Gareth Bale  #Goal Celebrations  #Michael Jordan  #Kawhi Leonard  #Russell Westbrook  #Luis Suarez  

Popular Users

#JayBilas  #JJWatt  #TheRealJRSmith  #DeionSanders  #Oprah  #BBCBreaking  #wizkhalifa  #DanicaPatrick  #katyperry  #narendramodi  #blakegriffin23  #nfl  #billbarnwell  #Cristiano  #StephenCurry30