Leo Tarehe 20/8/2022 Ni Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Wenyeji Simba Sc dhidi ya Wanankrukumbi Kagera Sugar ,Uwanja ...
Vita ya Alama Tatu Inashuhudiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Saalam Baina ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar ...
Ligi kuu ya NBC leo JumatanoJanuari 26, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ...
Mpenja TV imepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Crescentius Magori, ambaye amezungumza mambo mengi sana kuhusu klabu ya Simba na Maisha ya soka la Tanzania. Magori amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kama Ofisa Mtendaji mkuu wa Simba (CEO), Makamu wa kwanza wa Rais wa TFF, Mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Pia amewahi kuwa kiongozi na Mwanachama wa kundi maarufu la Friends of Simba. Enjoy mahojiano yetu na Mzee Magori! #Magori #SimbaSC #MpenjaTV
Revanš utakmica baraža za plasman u Prvu Ligu Srbije 2020-2021 Snimanje svega po malo je moj hobi.Na mom kanalu ipak dominira fudbal,koji volim i ...