Zogo ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo Alliance ikijiandaa kucheza na Mbao FC, CCM Kirumba
Zogo ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo Alliance ikijiandaa kucheza na Mbao FC, CCM Kirumba

Ni muda mfupi kabla ya Derby ya Mwanza Alliance vs Mbao FC, ikiwa ni miongoni mwa mechi za kwanza katika msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Wawakilishi wa timu hizo wanashutumiana kufanyiana vitendo wanavyoamini kuwa ni vya kishirikiana katika vyumba vya kubadilishia nguo. Mechi inaanza saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSportsHD #AllianceVsMbao #TPL




« Previous


Popular Tags

#Best Ball Controls  #James Harden  #Best Goals  #New York Knicks  #Stephen Curry  #Kobe Bryant  #Thomas Muller  #Manuel Neuer  #Neymar  #Kevin Durant  

Popular Users

#normmacdonald  #kevinlove  #espn  #rolopez42  #ochocinco  #kobebryant  #billsimmons  #WWE  #CP3  #Ky1eLong  #RobbieSavage8  #DjokerNole  #Buccigross  #nyt4thdownbot  #rogerfederer