Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024
Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024

Feisal Salum amefunga magoli mawili Azam FC ikiibugiza Kagera Sugar mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi..... Magoli mengine kwenye mchezo huu yametoka kwa Gibril Sillah dakika ya 50’, Kipre Jr dakika ya 65' na Iddy Nado dakika ya 90, huku Feisal akifunga yake dakika ya 72 na 79.



MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024
MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024

Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili na kufikisha magoli 17 katika mbio za ufungaji bora, Yanga ikiibugiza Dodoma Jiji mabao 4-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliofunguliwa na goli la Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Aziz kufunga mawili dakika ya 45+3 kwa penati na dakika ya 51, na kisha Maxi Nzengeli akafunga kazi kwa goli la nne dakika ya 78. Magoli yote manne haya hapa....



Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC  | Highlights | NBC Premier League 13/05/2024
Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 13/05/2024

Yanga SC imeichapa Mtibwa Sugar 3-1 na kutangaza ubingwa wake wa 30 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ikiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha alama 71 ambazo hazifikiwi na timu nyingine. Mtibwa ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 32 kupitia kwa Charles Ilanfya lakini Yanga wakachomoa dakika ya 62 kwa goli la Kennedy Musonda, Nasry Kombo akajifunga dakika ya 66 na Clement Mzize akamaliza kazi dakika ya 81. Tazama highlights...



Magoli | Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2024
Magoli | Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2024

Yanga SC imeichapa Mtibwa Sugar 3-1 na kutangaza ubingwa wake wa 30 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ikiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha alama 71 ambazo hazifikiwi na timu nyingine. Mtibwa ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 32 kupitia kwa Charles Ilanfya lakini Yanga wakachomoa dakika ya 62 kwa goli la Kennedy Musonda, Nasry Kombo akajifunga dakika ya 66 na Clement Mzize akamaliza kazi dakika ya 81. Haya hapa magoli yote...



🔴TIZAMA ;MAGOLI YOTE MATATU YA YANGA SC HAPA AKIMFUNGA MTIBWA [ 1- 2] NBC PREMIER LEO HII ROUND 27
🔴TIZAMA ;MAGOLI YOTE MATATU YA YANGA SC HAPA AKIMFUNGA MTIBWA [ 1- 2] NBC PREMIER LEO HII ROUND 27

🔴TIZAMA GOOOOOOOOOL LA MTIBWA SUGAR ALILOMFUNGA YANGA#TABORALEO#SANKARA#SHEIKHAN#yangaleo#yanga ya gsm#yanga ya kimataifa#yangahabaritz#yanga ya gamond#kikosichayangaleo#yangavsmtibwa#simba sc, baraka mpenja, kibwanashomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, jumashabani, mashabiki yanga,msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma,jamusfc, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, yanga habari tz,sajili as yanga leo,mechi za yanga,yanga leo,ganga exclusive,kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc,simba na yanga, princedube, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja,yangabingwa, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto,mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, playoff, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimbasc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, Mbeya City, Kigoma, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa,, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto,mashabiki yanga,feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara,mashabiki yanga, yanga sc,medeama, simba na yanga,kagere,soka, mayele,Usajiliwayanga,kikosi cha yanga,Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs,goals, highlights, red card, Goli,yangavsmamelodi,raissamia,simbascvsalahly,clamvevo,snakeboy,Hamedally,sportsarena,Lomalisausajili.



Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024
Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024

MZIZIMA DERBY: Simba FC imeshinda 3-0 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili akianza Sadio Kanoute dakika ya 63, Fabrice Ngoma dakika ya 77 na David Kameta dakika ya 89. Azam FC walipata penati mapema lakini walikosa kupitia kwa Feisal Salum.... lakini pia kuna utata kuhusu tukio la Azam kupata goli iliyoamuliwa kuwa ilikuwa ni off-side.



Azam FC 0-3 Simba SC | Magoli, Penati, Off-side | NBC Premier League 09/05/2024
Azam FC 0-3 Simba SC | Magoli, Penati, Off-side | NBC Premier League 09/05/2024

MZIZIMA DERBY: Simba FC imeshinda 3-0 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili akianza Sadio Kanoute dakika ya 63, Fabrice Ngoma dakika ya 77 na David Kameta dakika ya 89. Azam FC walipata penati mapema lakini walikosa kupitia kwa Feisal Salum.... lakini pia kuna utata kuhusu tukio la Azam kupata goli iliyoamuliwa kuwa ilikuwa ni off-side.



Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024
Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul George  #Amazing Solo Goals  #New York Knicks  #Football Defensive Skills  #Best Football Defending Skills  #Boston Celtics  #Neymar  #LeBron James  #Goal Celebrations  #Russell Westbrook  

Popular Users

#LilTunechi  #criscyborg  #nyt4thdownbot  #KDTrey5  #realmadrid  #RealSkipBayless  #justinbieber  #ochocinco  #kobebryant  #imVkohli  #BeingSalmanKhan  #CP3  #YouTube  #serenawilliams  #StephenCurry30