KHAA!! HUYU SHABIKI WA SIMBA ANAKERA ONA ALIVYOWACHEKA YANGA KUHAMIA KMC COMPLEX, AMTAJA MANARA
KHAA!! HUYU SHABIKI WA SIMBA ANAKERA ONA ALIVYOWACHEKA YANGA KUHAMIA KMC COMPLEX, AMTAJA MANARA

Ewe Mwanadada unaetaka kusuka Fika sasa kwa Msusi Safi wakusuke kisasa na kwa bei nafuu Huduma Zao: Kusuka Nywele mitindo yote | kuosha nywele n.k Wanapatikana Sinza Vatcan Karibu na ukumbi wa Mawela Social Hall Piga: +255 657 306 709 / 0620366579



GOLI LA MUKWALA AKIWAWEKA MASHUJAA WAAH!
GOLI LA MUKWALA AKIWAWEKA MASHUJAA WAAH!

KIGOMA: BAO pekee la Steve Mukwala dakika ya 90+7 limetosha kuipa Simba ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa uwanja wa Lake Tanganyika,  Kigoma na kukwea hadi nafasi ya pili ya Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.   Mukwala alipiga mpira wa  kichwa katika ya mabeki wa Mashujaa baada ya kuungapisha kona iliyopigwa na Awesu Awesu .   Mchezo huo ulikuwa wa ushindani ndani ya dakika 90 Simba walifanya shambulizi dakika ya 20 Leonel Ateba alifanya kazi nzuri lakini Kibe Denis alipiga shuti na mpira kutoka nje. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09



NYIEE!! FERUZI WA SIMBA ACHARUKA MAREFA HAWATUONEI, AMKUMBUKA CHAMA/ AWAPA MAKAVU WAZEE WA SIMBA
NYIEE!! FERUZI WA SIMBA ACHARUKA MAREFA HAWATUONEI, AMKUMBUKA CHAMA/ AWAPA MAKAVU WAZEE WA SIMBA

Truth Media Kuwa Kwanza Kupata Habari Za Uhakika Instagram: https://www.instagram.com/truthmediatz_/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@truthmediatz_?_t=8piZG2T2qDF&_r=1




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul Pogba  #James Harden  #David Silva  #Michael Jordan  #Thomas Muller  #Los Angeles Lakers  #Neymar  #Mesut Ozil  #Kawhi Leonard  #Shot Goals  

Popular Users

#SrBachchan  #obj  #si_vault  #KylieJenner  #JohnCena  #TheRock  #billbarnwell  #nytimes  #RobGronkowski  #MikePereira  #blakegriffin23  #instagram  #iamsrk  #fauxpelini