Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR Congo. Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita kwa mkwaju wa penalti uliowekwa wavuni na Chris Mugalu dakika ya 60 na kuipa uhakika wa alama tatu timu yake. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiahirisha vikao vya Bunge jijini Dodoma na wabunge wakilipuka kwa furaha kushangilia. "Nawapongeza pia mabingwa wa soka Tanzania timu ya Simba SC kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi na jana kushinda mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya AS Vita nchini DR Congo," amesema Majaliwa Waziri Mkuu pia amempongeza Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ubunifu wake wa kushirikisha Wizara ya Utalii na kuja na wazo la kuweka maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye jezi za Simba ambazo zinazotumika katika hatua ya makundi kutokana na kanuni za CAF kutoruhusu kampuni za kubeti kutumika kwenye jezi za klabu. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Simba watoa kauli nzito baada ya Kupata ushindi kwa kuwafunga As Vita Goli (1-0) kweli This is Simba #simbasc#asvita#sportsleotv
#Simbasc#ASVita 🔴#LIIVE AS VITA CLUB VS SIMBA SC ( 0 - 0 ) | LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Mazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na MkudeMazoezi ya Simba Congo yawachanganya As Vita wamuhofia Chama,Morrison na Mkude #simbasc #yangasc #asvita #simba #kikosichasimba #ligikuutanzania #ligikuu