JE NI KWELI CHAMA YUPO TANZANIA?/ATASAINI SIMBA?/MSIKIE MRATIBU WA SIMBA AKISEMA UKWELI WA HILI.
JE NI KWELI CHAMA YUPO TANZANIA?/ATASAINI SIMBA?/MSIKIE MRATIBU WA SIMBA AKISEMA UKWELI WA HILI.

Mpenja Tv imefanya mahojiano na Mratibu wa Simba Sports Club Mr. Abbas Suleiman kuhusu tetesi za Mchezaji Clatos Chota Chama Kurejea Simba pamoja na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonesha Mratibu huyu akiwa uwanja wa ndege kumpokea Chama. . Je kuna ukweli gani katika habari hii? . Mtangazaji kinara wa Mpenja Tv Alwatan Abdulazeez amefanya mahojiano kwa kina na Mratibu huyu. . Fungua video hii ili upate ukweli wa habari hii. . #Abbassuleiman #Simbasc #ClatosChama #MpenjaTV #Nbcpremeirleague





Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Anthony Davis  #Best Goalkeeper Saves  #Franck Ribery  #Los Angeles Lakers  #Best Ball Controls  #Luis Suarez  #Football Skills  #Philadelphia 76ers  #Chris Paul  

Popular Users

#billsimmons  #TimTebow  #IAmJericho  #BaileyLAKings  #RealSkipBayless  #DwyaneWade  #JoelEmbiid  #b_ryan9  #rogerfederer  #espn  #fauxpelini  #kobebryant  #criscyborg  #DeAndre