ALLAN OKELLO AOKOTA TENA KWA WANANCHI. by @kishaitv - Post Details

ALLAN OKELLO AOKOTA TENA KWA WANANCHI.

Mchezaji wa Yanga Allan Okello amepewa zawadi na leo tena ya Pesa na mashabiki zake baada ya kuwafunga bao mbili Coastal Union na kutoa pasi ya usaidizi moja katika mchezo huo.

Similar Posts!

SIMBA SC WATIMBA MAZOEZINI NA JEZI ZAO MPYA ZA CECAFA KAGAME CUP 2026, UNA UPA MAKSI NGAPI UZI HUU?
SIMBA SC WATIMBA MAZOEZINI NA JEZI ZAO MPYA ZA CECAFA KAGAME CUP 2026, UNA UPA MAKSI NGAPI UZI HUU?

Kikosi cha Simba SC kimefanya mazoezi kujinoa na Michuano ya CECAFA KAGAME CUP 2026 Nchibi Rwanda.

SIMBA WATUA RWANDA NA WACHEZAJI WAO WAPYA,HAWANA MUDA WAKUCHEKESHA CECAFA KAGAME CUP KITAWAKA
SIMBA WATUA RWANDA NA WACHEZAJI WAO WAPYA,HAWANA MUDA WAKUCHEKESHA CECAFA KAGAME CUP KITAWAKA

Simba SC wamewasili Nchini Rwanda kwa ajili ya Michuano ya CECAFA KAGAME CUP 2026,itakayoanza kutimua vumbi Julai 24,2026.

CHRISTINA MWAGALA ATEMA CHECHE "DIARRA SIO KIPA BORA/TUKIPIMA DNA KUNA TIMU ZINASHUKA DARAJA,AMONOME
CHRISTINA MWAGALA ATEMA CHECHE "DIARRA SIO KIPA BORA/TUKIPIMA DNA KUNA TIMU ZINASHUKA DARAJA,AMONOME

Afisa Habari wa TRA Christina Mwagala akizungumzia maandalizi ya kikosi kuelekea kumalizaka kwa msimu.

AHMED ALLY AMJIBU ALI KAMWE KUWAITA NGUCHIRO WEKUNDU/MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA/PACOME HAKUCHEZA
AHMED ALLY AMJIBU ALI KAMWE KUWAITA NGUCHIRO WEKUNDU/MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA/PACOME HAKUCHEZA

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally atema Cheche kali kuhusu kuambiwa wnapanga na Timu Pinzani.ili wasichezeshwe Wachezaji muhimu,Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Coastal Union,kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.

ALLY KAMWE AHARIBU HALI YA HEWA KMC COMPLEX KWA MIJADALA YA RIO FERDINABD
ALLY KAMWE AHARIBU HALI YA HEWA KMC COMPLEX KWA MIJADALA YA RIO FERDINABD

Moses William Afisa Habari wa Pamba jiji ameweka hadharani kwamba mchezo wake dhidi ya KMC haukuwa mgumu ila ugumu kaleta Ally Kamwe baada ya kuongelea mada za mchezaji wa zamani wa Manchester United Rio Fernand.

MANDALA ACHAFUKWA DODOMA BAADA YA KUPATA SARE| AOMBA KAMATI YA ROHO MBAYA IBADILISHWE
MANDALA ACHAFUKWA DODOMA BAADA YA KUPATA SARE| AOMBA KAMATI YA ROHO MBAYA IBADILISHWE

shabiki wa Simba mandala ataka KAMATI ya ROHO mbaya ifanyiwe mabadiliko