ALLY KAMWE AHARIBU HALI YA HEWA KMC COMPLEX KWA MIJADALA YA RIO FERDINABD
Moses William Afisa Habari wa Pamba jiji ameweka hadharani kwamba mchezo wake dhidi ya KMC haukuwa mgumu ila ugumu kaleta Ally Kamwe baada ya kuongelea mada za mchezaji wa zamani wa Manchester United Rio Fernand.