Content removal request!


ALLAN OKELLO AOKOTA TENA KWA WANANCHI.

Mchezaji wa Yanga Allan Okello amepewa zawadi na leo tena ya Pesa na mashabiki zake baada ya kuwafunga bao mbili Coastal Union na kutoa pasi ya usaidizi moja katika mchezo huo.