Leo June 15,2024 Klabu ya Yanga inazindua Kitabu cha Historia yao toka kuanzishwa kwake Februari 11,1935. Uzinduzi huo unafanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Leo Juni 14 Ally Kamwe,Kibwana,Job, na kamati nzima ya Wape Tabasamu wamezungumza kuelekea Mchezo wa Wape Tabasamu 2024 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri