Polisi Tanzania 3-3 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 26/12/2022.. for Polisi Tanzania - Coastal Union game - Post Details

Polisi Tanzania 3-3 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 26/12/2022

Tazama ilivyokuwa piga nikupige hadi yakafungwa sita kwenye mchezo mmoja yakiwemo mawili ya Kelvin Kongwe Sabato ...

Similar Posts!

Magoli yote | Polisi Tanzania 3-3 Coastal Union | NBC Premier League 26/12/2022
Magoli yote | Polisi Tanzania 3-3 Coastal Union | NBC Premier League 26/12/2022

Tazama ilivyokuwa piga nikupige hadi yakafungwa sita kwenye mchezo mmoja yakiwemo mawili ya Kelvin Kongwe Sabato ...

Magoli | Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2024
Magoli | Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2024

Yanga SC imeichapa Mtibwa Sugar 3-1 na kutangaza ubingwa wake wa 30 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ikiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha alama 71 ambazo hazifikiwi na timu nyingine. Mtibwa ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 32 kupitia kwa Charles Ilanfya lakini Yanga wakachomoa dakika ya 62 kwa goli la Kennedy Musonda, Nasry Kombo akajifunga dakika ya 66 na Clement Mzize akamaliza kazi dakika ya 81. Haya hapa magoli yote...

Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024
Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024

MZIZIMA DERBY: Simba FC imeshinda 3-0 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili akianza Sadio Kanoute dakika ya 63, Fabrice Ngoma dakika ya 77 na David Kameta dakika ya 89. Azam FC walipata penati mapema lakini walikosa kupitia kwa Feisal Salum.... lakini pia kuna utata kuhusu tukio la Azam kupata goli iliyoamuliwa kuwa ilikuwa ni off-side.

Azam FC 0-3 Simba SC | Magoli, Penati, Off-side | NBC Premier League 09/05/2024

Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024
Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.

Mashujaa FC 0 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2024
Mashujaa FC 0 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2024

Goli pekee kutoka kwa Joseph Guede limeipa yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ugenini kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tazama highlights....

Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024
Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024

Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.

Magoli | Namungo FC  2-2 Simba SC | NBC Premier League 30/04/2024
Magoli | Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League 30/04/2024

Goli la kujifunga dakika za jioooooooooooooooni limewapa Namungo FC sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC..... Simba walitangulia kwa goli la Willy Onana dakika ya 34 kabla ya Namungo kusawazisha dakika ya 39 kupitia kwa Kelvin Kongwe Sabato, na Edwin Balua kuifungia Simba la pili kwa free-kick dakika ya 70.

Simba SC 1-0 Azam FC | Highlights | Muungano Cup - 27/04/2024
Simba SC 1-0 Azam FC | Highlights | Muungano Cup - 27/04/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Muungano Cup kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Simba imeshinda goli 1-0