Leo kwenye NBC PL kunapigwa michezo mitatu Saa kumi kamili jioni Dimba la Ushirika Moshi Polisi Tanzania dhidi ya Mangushi Coastal union Dimba la CCM Kirumba Kino boys KMC dhidi ya Simba Saa moja usiku Dimba la Jamhuri Dodoma ,Dodoma Jiji dhidi ya Matajiri Singida Big Stars
Tazama ilivyokuwa piga nikupige hadi yakafungwa sita kwenye mchezo mmoja yakiwemo mawili ya Kelvin Kongwe Sabato ...
Tazama ilivyokuwa piga nikupige hadi yakafungwa sita kwenye mchezo mmoja yakiwemo mawili ya Kelvin Kongwe Sabato ...
NBC Premier League POLISI TANZANIA dhidi ya wagosi wa kaya COASTAL UNION,KMC ๐ SIMBA aliyetoka kuangusha point 2 huku wakamua mvinyo DODOMA JIJI wakikiwasha na SINGIDA BS. Teleza na Bikosports, ukibet kuanzia mechi 3 unapata #BonusBonge. @bikotanzania #BonusBonge #Bongeka
TAARIFA: Mchezo wa NBC Premier League kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Coastal Union ni leo saa 10:00 Jioni #LIVE #AzamSports3HD. Na mechi ya KMC vs Simba SC, Saa 10:00 Jioni #LIVE AzamSports1HD Pia, Dodoma Jiji vs Siginda B.S Saa 1:00 Usiku #LIVE #AzamSports1HD