KISA ALLY KAMWE IBWE AMUWAKIA AHMED ALLY/TUSISHINDANE MAGARI TUSHINDANE KINGEREZA/KUHUSU JUMA SHABAN by @Mpenja TV - Post Details

KISA ALLY KAMWE IBWE AMUWAKIA AHMED ALLY/TUSISHINDANE MAGARI TUSHINDANE KINGEREZA/KUHUSU JUMA SHABAN

Ofisa habari wa Azam Fc Hashim Ibwe ameweka wazi kuhusu kusambaa kwa picha za mchezaji Juma Shaban akifanya mazoezi ya pamoja na wachezaji wa Azam Fc Pia Ibwe hajaacha kutupa madongo kwa wasemaji wa Simba na Yanga akisema kuwa wasishindane kujaza magari pekee na kama wanataka ushindani basi waje kwenye kuzungumza kingereza

Similar Posts!