Mbeya City 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | TPL 28/09/2021.. for Mbeya City - Tanzania Prisons game - Post Details

Mbeya City 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | TPL 28/09/2021

Goli la dakika za nyongeza kutoka kwa Peter Mapunda limeipa Mbeya City ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wao wa kwanza wa ligi ...

Similar Posts!

DODOMA JIJI Vs SIMBA: RATIBA LIGI KUU BARA(OCTOBER 1-3 2021)
DODOMA JIJI Vs SIMBA: RATIBA LIGI KUU BARA(OCTOBER 1-3 2021)

Dodoma Jiji vs Simba Sc Biashara United vs Ruvu Shooting Coastal Union vs Kmc Fc Polisi Tanzania vs Azam Yanga Sc vs Geita Gold Mtibwa Sugar vs ...

Goli la Peter Mapunda | Mbeya City 1-0 Tanzania Prisons | TPL 28/09/2021
Goli la Peter Mapunda | Mbeya City 1-0 Tanzania Prisons | TPL 28/09/2021

Goli la dakika za nyongeza kutoka kwa Peter Mapunda limeipa Mbeya City ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wao wa kwanza wa ligi ...

Magoli | Namungo FC  2-2 Simba SC | NBC Premier League 30/04/2024
Magoli | Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League 30/04/2024

Goli la kujifunga dakika za jioooooooooooooooni limewapa Namungo FC sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC..... Simba walitangulia kwa goli la Willy Onana dakika ya 34 kabla ya Namungo kusawazisha dakika ya 39 kupitia kwa Kelvin Kongwe Sabato, na Edwin Balua kuifungia Simba la pili kwa free-kick dakika ya 70.

Simba SC 1-0 Azam FC | Highlights | Muungano Cup - 27/04/2024
Simba SC 1-0 Azam FC | Highlights | Muungano Cup - 27/04/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Muungano Cup kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Simba imeshinda goli 1-0

Yanga SC 2-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 20/04/2024
Yanga SC 2-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 20/04/2024

KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.

USIKU WA VITASA | Karim Mandoga Vs Mada Maugo (TKO) - 11/04/2024
USIKU WA VITASA | Karim Mandoga Vs Mada Maugo (TKO) - 11/04/2024

Kwa TKO raundi ya sita, Mada Maugo amemkalisha Karim Mandonga.

Mashujaa FC 1-1 (6-5) Simba SC | Penati | CRDB Bank Federation Cup - 09/04/2024
Mashujaa FC 1-1 (6-5) Simba SC | Penati | CRDB Bank Federation Cup - 09/04/2024

Tazama mikwaju yote ya penati iliyopigwa kwenye mchezo CRDB Bank Federation Cup kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC. Simba imetolewa kwa jumla ya penati 6-5 Waliopiga kwa upande wa Simba ni Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Freddy Michael Koublan, Willy Onana, Mzamiru Yassin, Ladack Chasambi, Sadio Kanoute Waliopiga kwa upande wa Mashujaa ni Zuberi Dabi, Samson Madeleke, Masinda, Idrissa Stambuli, Adam Adam, Mpoki Mwakinyuke, Baraka Mtui

Yanga kupeleka malalamiko CAF yaliyojiri mechi yao na Mamelodi Sundowns
Yanga kupeleka malalamiko CAF yaliyojiri mechi yao na Mamelodi Sundowns

“Kama klabu lazima tuoneshe kwamba kuna namna ambavyo hatujaridhishwa na kile ambacho kimetokea katika mchezo ule” sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia hatua ambazo timu hiyo imepanga kuzichukua juu ya yale yaliyojiri katika dimba la Loftus kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns.

MSHIKESMSHIKE VIWANJANI - 03/04/2024
MSHIKESMSHIKE VIWANJANI - 03/04/2024

Tazama taarifa mbalimbali za maandalizi ya Simba na Yanga SC kuelekea mechi zao za marudiano za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Afrika.

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 01/04/2024
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 01/04/2024

Tazama kipindi cha Mshikemshike Viwanjani ambacho kimekusanya habari mbalimbali ikiwemo taarifa ya Rais wa Yanga, Hersi Said akizungumzia mchakato wa mabadiliko ya klabu hiyo. Mashabiki wa Yanga wameanza safari ya kwenda Mamelodi