Kuelekea #MzizimaDerby Simba sc lazima itaingia na pressure Kubwa sana na huenda ikawa Turning point ya Azam. Simba wanahitaji kurudisha matumaini kwa mashabiki mara baada ya kufanya vibaya kimataifa. Wasiwasi wangu Over-Concentration huenda ikawatoa tena mchezoni.