Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

AHMED ALLY" WANASIMBA WENYE ROHO NGUMU WAJE KWENYE DABI/TUMEPATA MATOKEO MABAYA MFULULIZO
AHMED ALLY" WANASIMBA WENYE ROHO NGUMU WAJE KWENYE DABI/TUMEPATA MATOKEO MABAYA MFULULIZO

Leo Aprili 13,2024 Wajukuu wa Mbogo maji Ihefu SC wanamualika Mnyama Simba SC katika Uwanja wa CCM LITI Singida kumenyana mchezo wa ligi kuu ya NBC,Saa 10:00 jioni.

ALLY KAMWE" SIMBA WAMEFUNGWA MDOMO/TUTAWAFUNGA 5G TENA/DODOMA JIJI MENEJA WAO KAWAPONZA
ALLY KAMWE" SIMBA WAMEFUNGWA MDOMO/TUTAWAFUNGA 5G TENA/DODOMA JIJI MENEJA WAO KAWAPONZA

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amewasili Dodoma kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB,utakaochezwa Saa 2:00 usiku,Uwanja wa Jamhuri.

ALLY KAMWE''TUNAMTOA MAMELODI KWENYE LIGI YA MABINGWA/AL AHLY ANAWAFUNGA SIMBA,SISI HATUWEZI
ALLY KAMWE''TUNAMTOA MAMELODI KWENYE LIGI YA MABINGWA/AL AHLY ANAWAFUNGA SIMBA,SISI HATUWEZI

Leo Machi 30,2024 Katika Dimba la Benjamin Mkapa inapigwa mbungi ya mkondo wa kwanza ya ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC na Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini,Saa 3:00 usiku.

ALLY KAMWE AWALIPUA SIMBA,SIMBA NI MWAKA ROBO/TUNATAKA MECHI TUCHEZE NA MWANGA WA SIMU
ALLY KAMWE AWALIPUA SIMBA,SIMBA NI MWAKA ROBO/TUNATAKA MECHI TUCHEZE NA MWANGA WA SIMU

Leo Machi 29,2024 Mnyama Simba SC anashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Al Ahl kutoka Misri katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika,Saa 3:00

EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!
EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!

Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo. Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.

Highlights

BARAKA MPENJA AGONGA NONDO KALI ZA AFCON/NIGERIA/CAMEROON/AHIMIZA KUJIUNGA NA TIMU CHANJWA!
BARAKA MPENJA AGONGA NONDO KALI ZA AFCON/NIGERIA/CAMEROON/AHIMIZA KUJIUNGA NA TIMU CHANJWA!

COMMENTATOR wenu wa Boli, Baraka Mpenja, amekuja na Jambo zito kuhusu AFCON. Sasa mtampata huku kama kawaida, ...

SAFARI YA KURUDI TANZANIA IMEANZA/SIKIA WASIFU WA RWANDA/HAWATAMANI KUONDOKA.
SAFARI YA KURUDI TANZANIA IMEANZA/SIKIA WASIFU WA RWANDA/HAWATAMANI KUONDOKA.

Safari ya kurudi Tanzania imeanza kwenye Dimba la Kigali Pele, Mashabiki wa Yanga wamezungumza kuhusu uzuri wa Rwanda ...

KUMEKUCHA! RWANDA KAMA ZAMBIA TU/KILA MMOJA ANAVUTIA KWAKE/LEO TUNASHINDA TATU/CHAMA,SKUDU,MAX,BALAA
KUMEKUCHA! RWANDA KAMA ZAMBIA TU/KILA MMOJA ANAVUTIA KWAKE/LEO TUNASHINDA TATU/CHAMA,SKUDU,MAX,BALAA

Leo tarehe 16 Septemba ligi ya mabigwa barani Afrika wawakilishi kutoka Tanzania Simba na Yanga wataiwakilisha Tanzania ...

HATUWAOGOPI SINGIDA FOUNTAIN GATE TUNAWAHESHIMU/TUNAHITAJI KUFIKA MBALI MASHINDANO YA KIMATAIFA
HATUWAOGOPI SINGIDA FOUNTAIN GATE TUNAWAHESHIMU/TUNAHITAJI KUFIKA MBALI MASHINDANO YA KIMATAIFA

Kuelekea mchezo Wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika JKU dhidi ya Singida Fountain Gate FC Makocha na Wachezaji ...

RAMADHAN MBWADUKE: "YANGA WAKUBWA KWA KAIZER/WAMECHEZA KIKUBWA/SKUDU KAFANYA ALICHOTUMWA/WAMEFURAHI"
RAMADHAN MBWADUKE: "YANGA WAKUBWA KWA KAIZER/WAMECHEZA KIKUBWA/SKUDU KAFANYA ALICHOTUMWA/WAMEFURAHI"

Leo July 22 ni Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kutapigwa Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs kutoka South Africa.

KOCHA TAIFA STARS ACHARUKA/"NIGER WAMESEMA WATAMUACHIA UGANDA AFUZU/TUNAJIPANGA MECHI YA MWISHO"
KOCHA TAIFA STARS ACHARUKA/"NIGER WAMESEMA WATAMUACHIA UGANDA AFUZU/TUNAJIPANGA MECHI YA MWISHO"

Leo June 18 2023,Saa Kumi Jioni Taifa Stars inashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Niger,Mchezo wa kuwania ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports