Leo July 22 ni Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kutapigwa Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs kutoka South Africa.