Mkazuzu Online's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Simba imeendelea kujichimbia kileleni mwa ligi kuu baada ya kuifunga majimaji 4-0 uwanja wa Taifa
Ligi daraja la kwanza inaelekea ukingoni na moja kati ya mechi kali zinazotoa muelekeo ni hii ya Polisi Tz vs Coastal unio
Kiungo wa timu ya taifa ya tanznaia Hamis Abdallah anayekipiga na timu ya Sony Sugar ya nchini Kenya amesema tangu aitwe Stars kwa mara ya kwanza heshima yake imeongezeka .
Simba imeendeleza ubabe ligi kuu kwa kuikaribisha Njombe Mji Mjini kuwa kuishinda goli 4 bila uwanja wa uhuru..
Timu ya Mbao fc ya jijini Mwanza imeshindwa kupata ushindi katika uwanja wake wa nyumbani ikiwa imecheza mchezo wa nne mfululizo uwanja wa Ccm Kirumba.