Timu ya Mbao fc ya jijini Mwanza imeshindwa kupata ushindi katika uwanja wake wa nyumbani ikiwa imecheza mchezo wa nne mfululizo uwanja wa Ccm Kirumba.