KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

KELVIN NASHON wa GEITA GOLD, afunguka Baada ya kufungwa na simba
KELVIN NASHON wa GEITA GOLD, afunguka Baada ya kufungwa na simba

KELVIN NASHON wa GEITA GOLD, afunguka Baada ya kufungwa na simba Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

Simba Ulaya Amvaa HAJI MANARA Baada kuifunga Red Arrows ya Zambia mabao 3-0
Simba Ulaya Amvaa HAJI MANARA Baada kuifunga Red Arrows ya Zambia mabao 3-0

Simba ulaya Amvaa MANARA Baada YA ushindi, kimataifa Ubingwa wetu Klabu ya Simba imetumia vyema uwanja wa nyumbani na kufanikiwa kuifunga Red Arrows ya Zambia mabao 3-0 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

MREMBO wa SIMBA Adata na Morrison mh! skiliza maneno yake
MREMBO wa SIMBA Adata na Morrison mh! skiliza maneno yake

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV DAKIKA 90, zimekamilika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Red Arrows katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mabao mawili ya Bernard Morrison dakika ya 17, 78, na Meddie Kagere dakika ya 19, yametosha kuipa ushindi mnono mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara. Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kufanya mabadiliko ambapo Simba ilimtoa beki Pascal Wawa na nafasi yake ikichukuliwa na Henock Inonga ili kuiongezea nguvu safu ya ulinzi. Kwa upande wa Red Arrow ilifanya mabadiliko kwenye eneo la ushambuliaji akitoka Felix Bulaya na nafasi yake ikichukuliwa na Ricky Banda. Kuingia kwa Inonga kulileta utulivu kwenye eneo hilo kutokana na urefu wake wa kucheza mipira mingi ya kichwa ambayo ilikuwa inatumika kama njia mbadala ya kutafuta mabao. Dakika ya 57, Prosper Chiluya wa Red Arrows alipata kadi nyekundu baada ya kadi mbili za njano na kuendelea kuigharimu timu yake iliyokuwa ikihitaji kusawazisha mabao hayo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

SHABIKI WA YANGA AWAPA MAKAVU NAMUNGO,  SIMBA WAJIANDAE  TUNAKUJA
SHABIKI WA YANGA AWAPA MAKAVU NAMUNGO, SIMBA WAJIANDAE TUNAKUJA

Sare zimeendelea kutawala katika mechi za Ligi Kuu Bara inayowakutanisha Yanga na Namungo baada ya leo pia timu hizo kutoka sare ya bao 1-1. Mabao ya Obrey Chirwa na Saido Ntibazonkiza yamefanya timu hizo kufikisha mechi tano za Ligi Kuu Bara tangu 2019 bila yoyote kuwa mbabe wa mwenzake. Chirwa aliipatia Namungo bao dakika ya 52 kwa shuti Kali lililomshinda kipa wa Yanga, Diarra. Dakika ya 59 Yanga ilifanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo baada ya kuwatoa Mukoko Tonombe, Jesus Moloko na Farid Mussa na kuwaingiza Said Ntibazonkiza 'Saido', Deus Kaseke na Yusuph Athuman lakini dakika tano baadae wakamtoa Kibwana Shomari na kumuingiza David Brayson wakati kwa upande wa Namungo alitoka Shiza Kichuya na nafasi yake kuchukuliwa na Hashim Manyanya.

SHABIKI SIMBA AITAJA YANGA, TUPUNGUZE PRESHA TUPO VIZURI
SHABIKI SIMBA AITAJA YANGA, TUPUNGUZE PRESHA TUPO VIZURI

Shabiki wa simba punguzeni fujo tuwape muda wachezaji ubingwa upo MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Timu zote zilimaliza pungufu baada ya mchezaji mmoja kila upande kutolewa kwa kadi nyekundu, wakianza Coastal kumpoteza Benedictor Jacob Mwamlangwa dakika ya 29, kabla ya Simba kumpoteza beki wake Mkongo, Hennock Inonga Baka dakika ya 90. SIimba SC inafikisha pointi nane na Coastal imetimiza pointi tatu katika mchezo wa nne kila timu. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Utashangaa Shabiki Simba Ampa Makavu Kocha amkataa Bocco amtaka Kagere
Utashangaa Shabiki Simba Ampa Makavu Kocha amkataa Bocco amtaka Kagere

-"Kocha anamtaka John Bocco, anakosa magori Kagere Yuko nje mambo gani haya" SIMBA imeondoshwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu huu baada ya kuruhusu kufungwa bao 3-1 nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na Jwaneng Galaxy ya Botswana. Hiyo ni baada ya kuruhusukufungwa mabao matatu nyumbani na kufanya uwiano wa mabo kuwa 3-3 baada ya kushinda 2-0 ugenini hivyo wameondolewa kwa kanuni ya bao la ugenini . Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

SIMBA SC WATANGAZA 'ITS NOT OVER' JWANENG GALAXY HAWATOKI JUMAPILI
SIMBA SC WATANGAZA 'ITS NOT OVER' JWANENG GALAXY HAWATOKI JUMAPILI

Simba Waitanazia Vita Jwaneng Galaxy "Its not over Kazi iendelee hatoki mtu" “Maandalizi ya timu yanaendelea vizuri, tayari wachezaji wameingia kambini kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Wapinzani wetu waliwasili jana.”- Msaidizi wa Afisa Habari, Ally Shatry Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

KINYONGE SHABIKI wa AZAM AJITETEA KUTOA SARE NA PYRAMIDS YA MISRI
KINYONGE SHABIKI wa AZAM AJITETEA KUTOA SARE NA PYRAMIDS YA MISRI

Shabiki azam afunguka tusilaumiane tumekutana na timu kubwa africa Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars

Highlights

FARHAN ACHAMBUA USHINDI SIMBA WA BAO TANO DHIDI YA MTIBWA, AMSIFIA REFA
FARHAN ACHAMBUA USHINDI SIMBA WA BAO TANO DHIDI YA MTIBWA, AMSIFIA REFA

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV FARHAN KIHAMU AICHAMBUA SIMBA USHINDI WA BAO TANO DHIDI YA MTIBWA ...

UTACHEKA! SHABIKI WA SIMBA APATA MAUMIVU TIMU YAKE IKIFUNGWA NA AZAM FC
UTACHEKA! SHABIKI WA SIMBA APATA MAUMIVU TIMU YAKE IKIFUNGWA NA AZAM FC

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...

SIKIA TAMBO ZA SHABIKI WA AZAM BAADA YA KUIFUNGA SIMBA KWA MKAPA
SIKIA TAMBO ZA SHABIKI WA AZAM BAADA YA KUIFUNGA SIMBA KWA MKAPA

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV BAO la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 36 limetosha kuipa ...

PRINCE DUBE AMPA KIWEWE 😀 SEMAJI LA SIMBA, AONGEA KINYONGE
PRINCE DUBE AMPA KIWEWE 😀 SEMAJI LA SIMBA, AONGEA KINYONGE

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV BAO la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 36 limetosha kuipa ...

SHABIKI WA YANGA ATEMA SHOMBO SIMBA KUFUNGWA NA AZAM
SHABIKI WA YANGA ATEMA SHOMBO SIMBA KUFUNGWA NA AZAM

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...

MASHABIKI WA SIMBA WACHARUKA KISA KUFUNGWA NA AZAM
MASHABIKI WA SIMBA WACHARUKA KISA KUFUNGWA NA AZAM

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...

BARAKA MPENJA ADATA NA GOLI LA AZIZI KI DHIDI YA SIMBA AMTAJA MORRISON
BARAKA MPENJA ADATA NA GOLI LA AZIZI KI DHIDI YA SIMBA AMTAJA MORRISON

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV BAO la Aziz KI limeisaidia timu yake kuambulia pointi moja baada ya sare ya bao 1-1 huku ...

ALICHOSEMA ALI KAMWE KUHUSU CLUB AFRICAN KUIVAA YANGA/ASEMA NI NGUMU
ALICHOSEMA ALI KAMWE KUHUSU CLUB AFRICAN KUIVAA YANGA/ASEMA NI NGUMU

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports