Yanga TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Kuelekea dabi ya kariakoo ya ligi ya wanawake ya Serengeti, wachezaji wa Yanga wakiume Benard Morison na Aziz Ki wamekutana na wachezaji wa Yanga Princes na kuzungumza mambo kadhaa. . Fungua video hii kuwasikia.
Meneja habari na mawasiliano Yanga Ali Kamwe amezungumza na Yanga Tv kuhusu kauli ya kocha Nabi kuelekea mechi zetu za makundi kombe la Shirikisho. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa mahojiano haya.
Kikosi chetu kimetua salama mkoani Singida kwaajili ya mchezo wetu dhidi ya Dodoma Jiji. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa hanari hii.
EXCLUSIVE: @clementinho49 ni nani? Nini aliambiwa na Nabi na wachezaji wenzake kabla ya mechi? Nani alimtabiria kuwa atafunga goli? Majibu ya maswali haya na mengi kuhusu nyota Clement Mzize utayapata kwenye mahojiano haya.
Leo Novemba 11 Kikosi chetu kimetua kutoka Tunisia, Yanga Tv tumezungumza na wachezaji, Benchi la Ufundi pamoja na Viongozi. . Fungua video hii kupata habari kamili.