Yanga TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Timu yetu leo inasafiri kuelekea Tunisia kuwakabili Club African. . Fungua video hii kupata habari kamili.
Beki wetu Dickson Job amezungumza na Yanga Tv Kuhusu ubora wake aliyonao na siri inayomfanya awe bora kila siku. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa mazungumzo haya.
Fiston Mayele kuelekea mchezo wetu wa Kimataifa Jumamosiπ°π¦Ύ #iwejuaiwemvua
AfisaHabari Young Africans SC Ali Kamwe akiongozana na Digital Manager Priva Abiud walitembelea Makao Mkuu ya TFF, Karume kama sehemu ya kupata ushauri na ushirikiano bora katika kukuza soka letu nchini. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Magoli kwenye mchezo wetu wa leo dhidi ya Azam FC uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko