Mwanasport's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Azam federation cup #simbasc #majimaji #AzamfederationCup #mwanasport #magoliyote #AzamHD #Live. . LIGI KUU TANZANIA BARA 2020 Channel Mwanasport itakuletea Highlight zote na matukio mbalimbali ya Mechi hii Cha kufanya ni kusubscribe channel yetu kisha turn on notification utaweza kupata Highlights zote za Mechi hii.
yanga waendeleza kipigo ligi kuu Tanzania bara. Leo wameibuka washindi katika Mechi yao dhidi ya Ruvu shooting Kwa Goli 2-1 . #SimbaSc #YangaSc #Tuisilakisinda
Luis Moquisonne ameng'ara kwenye mechi ya Nyumbani ya Simba SC DHIDI ya wageni wao plateau United. Simba wanaendelea mbele Kwa Ushindi walioupata wakiwa ugenini Kwa Goli moja la ugenini huko Jos
#mwanaSportTz #VodacomaPrimerLeague
Goli la John Bocco lililowatanguliza Simba. 53’: Simba 1-0 Mwadui. LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #SimbaSC #MwaduiFC #
FULL TIME | Game imekwisha Chamazi, matokeo ni ngoma droo. FT: Azam 1-1 JKT. #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VodacomPremierLeague
Chuma cha sita kimewekwa kambani na Said Luyaya dakika za majeruhi. FT: Mwadui 1-6 JKT TZ. #MwanaSport #LigiKuuTanzaniaBara #shorts