USIKU WA VITASA | Hizi hapa 'show' za Mandonga na Shaban Kaoneka - 30/07/2022
USIKU WA VITASA | Hizi hapa 'show' za Mandonga na Shaban Kaoneka - 30/07/2022

Tazama mambo yalivyokuwa wakati bondia Karim Mandonga 'mtu kazi' akimenyana Shaban Kaoneka kwenye #UsikuWaKisasi dimbani Majimaji Songea.



Mbeya Kwanza 0-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 05/03/2022
Mbeya Kwanza 0-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 05/03/2022

Ni mechi ya ligi kuu ya NBC iliyochezwa kwenye Dimba la Majimaji mjini Songea, ambapo wenyeji Mbeya Kwanza ...



#TBCLIVE: KMC FC (0) VS (2) YANGA SC UWANJA WA MAJIMAJI, SONGEA
#TBCLIVE: KMC FC (0) VS (2) YANGA SC UWANJA WA MAJIMAJI, SONGEA

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ



Aggrey Morris Alalamikia Goli la Simba, Morrison Kuanzisha Mpira Haraka ni Makosa
Aggrey Morris Alalamikia Goli la Simba, Morrison Kuanzisha Mpira Haraka ni Makosa

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



Tazama Simba walivyoiadhibu Azam kwa goli la Luis Miquissone - Nusu Fainali ASFC 26/06/2021
Tazama Simba walivyoiadhibu Azam kwa goli la Luis Miquissone - Nusu Fainali ASFC 26/06/2021

AZAM FC VS SIMBA (0-1): Goli pekee la Luis Miquissone dakika ya 89 limeipeleka Simba fainali ya #AzamSportsFederationCup baada ya kuitandika Azam FC bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa kwenye Dimba la Majimaji mjini Songea. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



🔴#LIVE: AZAM FC vs SIMBA SC ( 0 - 1 ) - NUSU FAINALI ya FA, UWANJA wa MAJIMAJI SONGEA..
🔴#LIVE: AZAM FC vs SIMBA SC ( 0 - 1 ) - NUSU FAINALI ya FA, UWANJA wa MAJIMAJI SONGEA..

🔴#LIVE: AZAM FC vs SIMBA SC ( 0 - 1 ) - NUSU FAINALI ya FA, UWANJA wa MAJIMAJI SONGEA.. Dakika 90 za Nusu Fainali ya mwisho ya Kombe la Shirikisho (FA) kati ya AZAM FC vs SIMBA SC, inayochezwa katika uwanja wa Majimaji Mkoani Ruvuma, zimemalizika kwa Azam kutolewa kwenye kombe hilo na rasmi sasa Simba atakutana na mtani wake wa jadi Yanga, kwenye hatua ya fainali itakayochezwa mkoani Kigoma. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



VIDEO: HAIJAWAHI TOKEA MWANZO MWISHO MAPOKEZI YA SIMBA SONGEA YAVUNJA REKODI|CEO WA SIMBA ASHANGAZWA
VIDEO: HAIJAWAHI TOKEA MWANZO MWISHO MAPOKEZI YA SIMBA SONGEA YAVUNJA REKODI|CEO WA SIMBA ASHANGAZWA

MASHABIKI wa Simba leo wamejitokeza kwa wingi kuipokea timu hiyo ambayo imewasili leo Juni 23, Songea. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.  Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majimaji, Juni 26. Ni Simba ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo walitwaa msimu uliopita baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC ilikuwa Uwanja wa Nelson Mandela. Gomes amesema:"Tunatambua kwamba Azam FC ni timu bora kwani ina wachezaji wazuri hivyo wachezaji wangu nimewaambia kwamba wanapaswa kufanya kazi kwa umakini kusaka ushindi," .




Next »


Popular Tags

#Football Skills  #LeBron James  #Best Goals Ever  #Franck Ribery  #Chicago Bulls  #Counter Attack Goals Football  #Paul George  #Anthony Davis  #Golden State Warriors  #Paul George  

Popular Users

#espn  #justinbieber  #LAKings  #MichelleDBeadle  #BizNasty2point0  #BrunoMars  #_BAnderson30_  #UKCoachCalipari  #GNev2  #SHAQ  #nyt4thdownbot  #strombone1  #baseballpro