Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
TAZAMA BALAA LA SIMBA KWENYE USAJILI HAPA WAMELAMBA DUME BONSU NAFASI NAMBA 8|ANAPIGA PASI HATARI
VIKOSI BORA VYA WACHEZAJI WA KIGENI NA WAZAWA,SIMBA WATAKATA
Chambua MWENYEWE HII NI OFF SIDE KWELI? GOLI LA JOHN BOCCO LILILOKATALIWA SIMBA VS COASTAL UNION
MZEE MPILI ASEMA YANGA ATACHUKUA UBINGWA FA|SIMBA WAMEJIPANGA ILA YANGA NDIO BINGWA
RASMI SIMBA YAKAMILISHA USAJILI WA KHALID AUCHO KUTOKA UGANDA|NI KIUNGO NAMBA 8
MASHABIKI wa Simba leo wamejitokeza kwa wingi kuipokea timu hiyo ambayo imewasili leo Juni 23, Songea. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majimaji, Juni 26. Ni Simba ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo walitwaa msimu uliopita baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC ilikuwa Uwanja wa Nelson Mandela. Gomes amesema:"Tunatambua kwamba Azam FC ni timu bora kwani ina wachezaji wazuri hivyo wachezaji wangu nimewaambia kwamba wanapaswa kufanya kazi kwa umakini kusaka ushindi," .