Dream Online Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

MANARA ATUPA DONGO YANGA|KUHUSU BEKI DJUMA WA AS VITA|ataja bei yake|Dola laki 5
MANARA ATUPA DONGO YANGA|KUHUSU BEKI DJUMA WA AS VITA|ataja bei yake|Dola laki 5

MANARA ATUPA DONGO YANGA|KUHUSU BEKI DJUMA WA AS VITA|ataja bei yake|Dola laki 5

USAJILI KOCHA GOMEZ ATAJA WACHEZAJI 5 ANAOHITAJI “Nahitaji wachezaji watano tu kwa msimu mpya"
USAJILI KOCHA GOMEZ ATAJA WACHEZAJI 5 ANAOHITAJI “Nahitaji wachezaji watano tu kwa msimu mpya"

USAJILI KOCHA GOMEZ ATAJA WACHEZAJI 5 ANAOHITAJI “Nahitaji wachezaji watano tu kwa msimu mpya"

SIMBA WAFANYA KUFURU KUIMALIZA KAIZER CHIEF|"hadi hatua ya makundi imetumia zaidi ya Sh 2.6 bilioni"

CREOTUS MAGORI ATOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU SAKATA LA KUAHIRISHWA KWA DERBY|YANGA WALIKOSEA.
CREOTUS MAGORI ATOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU SAKATA LA KUAHIRISHWA KWA DERBY|YANGA WALIKOSEA.

CREOTUS MAGORI ATOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU SAKATA LA KUAHIRISHWA KWA DERBY|YANGA WALIKOSEA.

MAMBO 10 YA KITAALAMU ALIO YAONA ALI KAMWE SIMBA IKIPIGA DODOMA 3 -1|CHAMA ANA ASSIT 13
MAMBO 10 YA KITAALAMU ALIO YAONA ALI KAMWE SIMBA IKIPIGA DODOMA 3 -1|CHAMA ANA ASSIT 13

Mambo 10 nilioyaona Simba vs Dodoma 1: WHAT A MATCH. Tactically, Technically makocha na wachezaji wametupa dakika 90 zilizoshiba. Mechi ya nguvu, kasi na maarifa ya kutosha..  2: Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata aliingia na 4-2-4 akiwa na viungo wawili tu katikati ya kiwanja. Watu wanne wa juu wakiwa bora sana kwenye pressing 🙌 Game Plan ilikuwa sahihi, 'Quality' ikatofautisha ubao wa matokeo. Nafasi ambazo Dodoma walizichezea, Simba walizitumia. 3: Dakika 45 za kwanza, Didier Gomes alibaki na sytem ya 4-2-3- 1 lakini akabadili style of Play kidogo. Chama akaenda pembeni, Bwalya akacheza zone ya 14. Timu ikaonekana nzito kidogo 'kulink' kutoka kati kuingia phase ya 3 ya kiwanja. Nini alifanya? 4: Akamtoa Muzamir Yassin akamuingiza Morrison. Chama akarudi kwenye zone ya 14, Bwalya akarudi kati. Timu ikalainika, nafasi zinakapatina. 5: Again, Simba wamethibitisha tena nilichowahi kukisema. Ni timu hatari pindi inaposhambuliwa. Mpinzani akitawanyika wana watu wazuri wa kutega kwenye maeneo ya wazi. Wakiupata mpira.. hawachezi, wanashambulia.  6: CHAMA 🐐.. Damu ya Zambia. mwili wa Hispania. Akili ya Brazil.. Alichobakisha ni kutoa asali na maziwa kwenye miguu yake..  What A Player 🙌 Anaufanya mchezo wa mpira uonekana mrahisi sana. Yuko Sharp kwenye kujitengenezea nafasi na ni mtulivu kwenye maamuzi yake  7:  Ule mguu wa kushoto wa Larry Bwalya una 'vision' ya ajabu sana🙌 Ana utulivu sana. Anaimeza presha ya Opponent kwa ustadi wa aina yake. Ile pivot yake na Nyoni inawapa uhakika Simba wa kumiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo 8: Justine Omary🙌 Yule beki wa kati wa Dodoma Jiji.. Ni mpambanaji sana. Ana kimo kizuri, ana nguvu na timing yake ni nzuri sana. Akisukuma kidogo kwenye kutafuta kasi, he is one of the best tunaoweza kuwategemea kwa baadae 9: Miquissone 👍 Katika ubora wake wa kila siku. Dodoma walimpa mechi ngumu akawafunga bao gumu. Ule ndio ubora unaowabeba Simba wanapokuwa katika nyakati ngumu kiwanjani 10: Mkandala 👍 Alipambana sana kumvuruga Muzamir katikati ya kiwanja. Wale mabeki wa pembeni wa Dodoma, George Wawa na Ngalema wamevuja sana jasho. Well done kwao.. Nb: Tar 8 bebeni Tende tu.. Ftari mtaipata KWA MKAPA 😀

MAMBO 10 ALIO YAONA ALI KAMWE KWENYE USHINDI WA SIMBA SC NA GWAMBINA|SIMBA KILELENI.
MAMBO 10 ALIO YAONA ALI KAMWE KWENYE USHINDI WA SIMBA SC NA GWAMBINA|SIMBA KILELENI.

Mambo 10 nilioyaona Gwambina vs Simba 1: MNYAMA 🦁 ON TOP OF THE TABLE🙌 Kibabe. Kikatili Simba wameondoka na Pointi 3 ngumu ndani ya pitch kigumu kule Misungwi. MO aanze kuagiza masweta sasa.. Kileleni baridi 😀 2: Asante kocha wa Gwambina, Mohammed Badru👏 Asante Didier Gomes.. 👍 Licha ya changamoto ya pitch, makocha wametupa mechi nzuri kwenye mbinu. Kasi, nguvu na maarifa yalitawala kwa Dakika 90🙌 3: Gwambina walikuja na system ya 4-2-3-1, Kati wakianza na Holding wawili. Baraka Mtui na Kagoma walikuwa na utulivu na kasi ya kupokonya mpira huku Viungo watatu wa juu, Meshack, Jimmson na Rajab wakiwa wakiwapress vyema mabeki wa Simba ili kuwanyima nafasi ya kuanza shambulizi kwa kupiga 'Long Balls' 4: Didier Gomes aliswitch kutoka kwenye 4-2-3-1 na kuja na 4-1-3-2 akiwa na Plan ya kucheza kwa mipira mirefu, akiutoa mpira katikati ya kiwanja kukwepa changamoto ya pitch 5: Always.. Mechi ngumu kwenye mbinu huamuliwa na 'quality' za wachezaji kuamua mchezo. Hapa ndipo tofauti ilipokuja.. Quality ya Simba ikaidhibu Gwambina. Kivipi? 6: Rudi na ulitazame tena na tena bao la MOHAMMED HUSSEIN🙌 Moderm Football it's all about Space and Time. Ile First touch ya Tshabalala ni ya Thamani sana. Ndani ya sekunde chache mpira ukiwa angani, brain yake ikafikiri kwa haraka na kuamua.. WHAT A GOAL🙌  7: Gwambina imepoteza lakini Yule kipa wao Mohammed Makaka alikuwa kwenye kiwango bora sana 👍 Simba walicheza kwa malengo na Attempt zao zilikuwa ON TARGET.. Mikono ya Makaka ilikuwa kwenye ubora sana. 8: Onyango🙌 INATOSHA SASA KUMUELEZEA. Kile ni KITASA cha Guantanamo 🙌 Anacheza kwenye kila mdundo wa mpinzani. Ukiweka Reggea, mnaruka nae. Ukiweka singeli, mnalimwaga nae.. What A Player🙌 9: Lile tukio la Onyango linabaki kwenye maamuzi ya Line 1. Katika mstari aliosimama, yeye ndio mwenye nafasi ya kuona vyema muelekeo wa ule mpira ukiwa angani 10: Welld done Jimmson Mwanuke💪 Mchezaji mkubwa kwenye jezi ya timu ndogo. Anajua sana. WELL PLAY GUSTAVO. Na udogo wake vilevile, Alimstopisha Kisinda na leo kammeza Morrison..  Nb: Kwani Wananchi wenyewe Wanasemaje 😀

SIMBA KUNYANG'ANYWA UWANJA WA BUNJU, MILION 77 WAPEWA SIKU 14.
SIMBA KUNYANG'ANYWA UWANJA WA BUNJU, MILION 77 WAPEWA SIKU 14.

SIMBA KUNYANG'ANYWA UWANJA WA BUNJU, MILION 77 WAPEWA SIKU 14.

Highlights

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports