Global TV Online's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
MASIKINI! MUKOKO AANGUA KILIO Baada ya KUCHUKUA KOMBE, Kukosa PENALTI, MAMA Yake ATAJWA ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
TAIFA STARS VS CONGO - SHANGWE za MASHABIKI HATARI!! Wamtaja NCHIMBI, CONGO Watunisha MISULI... AYOUB Lyanga nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amefunga bao liliweka usawa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo, uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Lyanga alifunga bao hilo dakika ya 57 kipindi cha pili baada ya DR Congo kutangulia kufunga bao la kwanza kipindi cha kwanza. Congo ilipachika bao dakika ya 19 kupitia kwa Fiston Mayela ambaye alipiga shuti kali akiwa nje ya 18 na mlinda mlango Juma Kaseja alikwama kuokoa baada ya kuteleza kabla ya kuokoa mpira uliozama wavuni. Pongezi kwa Ditram Nchimbi aliyetoa pasi ya bao iliykutana na Lyanga ambaye aliwanyanyua mashaki dakika ya 57 Uwanja wa Mkapa. Pia mkongwe Agrey Morris aliweza kutumia dakika 2 kwenye mchezo wa leo ikiwa ni mara yake ya mwisho kutumika ndani ya Stars baada ya kuomba kustaafu. Kocha Mkuu wa Stars, Etienne Ndayiragije amesema kuwa wachezaji wake wengi ni wapya jambo linalomfanya ajenge muunganiko mzuri wakati ujao. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KOCHA MATOLA Afunguka SIMBA na YANGA Kukutana TENA - "LAZIMA Tuchukue UBINGWA" ILE derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, inatarajiwa kurudiwa tena visiwani Zanzibar kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi, baada ya wote wawili kutinga fainali kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa, Yanga akamtoa Azam FC, na Simba akamtoa Namungo FC.... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kutinga fainali ya Kombe hilo baada ya kumtungua Namungo mabao ( 2 - 1) na hivyo anakwenda kukutana na Yanga SC kwenye fainali itakayochezwa Januari 13, 2021.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: YANGA SC vs AZAM FC (1 - 1) PENALTI (5 - 4) - YANGA Watinga FAINALI ya KOMBE la MAPINDUZI.. Karibu utazame Dakika 90 za mtanange wa nusu fainali ya kombe la Mapinduzi kati ya YANGA SC vs AZAM FC, umechezwa leo Januari 11, 2021, katika dimba la Amaani Zanzibar... Dakika 90 hizo zimemalizika kwa Yanga kutinga fainali baada ya kumtoa Azam FC kwa mikwaju ya penalti ( 5 - 4 ).... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
SABABU za MORRISON Kutocheza SIMBA SC, Kocha MATOLA Afunguka - "TUMELIPA KISASI" Mtanange wa kukata na shoka wa kombe la Mapinduzi kati ya SIMBA SC vs MTIBWA SUGAR, umechezwa Januari 09, katika dimba la Amaani visiwani Zanzibar... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kulipiza kisasi kwa kuwachapa Mtibwa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Hassan Dilunga pamoja na Miraji Athuman Sheva... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Hatimaye SIMBA Wamelipa KISASI kwa MTIBWA, Ona MASHABIKI Wao WALIVYOPAGAWA kwa FURAHA... Mtanange wa kukata na shoka wa kombe la Mapinduzi kati ya SIMBA SC vs MTIBWA SUGAR, umechezwa Januari 09, katika dimba la Amaani visiwani Zanzibar... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kulipiza kisasi kwa kuwachapa Mtibwa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Hassan Dilunga pamoja na Miraji Athuman Sheva... Baada ya Simba kulipa kisasi kwa Mtibwa kila cha mwaka jana cha kuwatoa kwenye kombe hilo, mashabiki wa wa Simba wamepiga shangwe balaa.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: AZAM FC vs MALINDI SC ( 1 - 0 ) - KOMBE la MAPINDUZI, UWANJA wa AMAANI STADIUM.. Ni mtanange wa kukata na shoka wa kombe la Mapinduzi kati ya AZAM FC vs MALINDI SC, umechezwa leo Januari 10, katika dimba la Amaani visiwani Zanzibar... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Azam kutinga Nusu fainali ya kombe hilo baada ya kumtandika Malindi bao moja kwa bila... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: SIMBA SC vs MTIBWA SUGAR ( 2 - 0 ) - KOMBE la MAPINDUZI, UWANJA wa AMAANI STADIUM.. Ni mtanange wa kukata na shoka wa kombe la Mapinduzi kati ya SIMBA SC vs MTIBWA SUGAR, umechezwa leo Januari 09, katika dimba la Amaani visiwani Zanzibar... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kulipiza kisasi kwa kuwachapa Mtibwa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Hassan Dilunga pamoja na Miraji Athuman Sheva... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline