Hatimaye SIMBA Wamelipa KISASI kwa MTIBWA, Ona MASHABIKI Wao WALIVYOPAGAWA kwa FURAHA... Mtanange wa kukata na shoka wa kombe la Mapinduzi kati ya SIMBA SC vs MTIBWA SUGAR, umechezwa Januari 09, katika dimba la Amaani visiwani Zanzibar... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kulipiza kisasi kwa kuwachapa Mtibwa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Hassan Dilunga pamoja na Miraji Athuman Sheva... Baada ya Simba kulipa kisasi kwa Mtibwa kila cha mwaka jana cha kuwatoa kwenye kombe hilo, mashabiki wa wa Simba wamepiga shangwe balaa.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline