Global TV Online's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
MWL KASHASHA AICHAMBUA SARE ya SIMBA SC vs TZ PRISON - "HIKI ni KIPIMO Kwa SIMBA".. MCHAMBUZI wa Soka, Mwalimu Kashasha amesema kuwa mchezo wa Simba SC vs Tz Prison ni kipimo kizuri kwa klabu ya Simba ambayo inakwenda kukipiga na Al Merrikh wikiend hii.. Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili kati ya, SIMBA SC vs TANZANIA PRISONS, umechezwa leo Machi 10, katika dimba la Mkapa jijini Dar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa sare ya mabao ( 1- 1), ambapo wajelajela walitangulia kupitia kwa Salum Kimenya na baadae Simba wakasawazisha kupitia kwa Luis Miqquisone... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
#BREAKING: SIMBA Yatinga CAF Kuishtaki AL MERREIKH, SAKATA la WACHEZAJI Wao WALIOFUNGIWA... UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umepeleka barua Caf kwa ajili ya kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al Merrikh ya Sudan kuchezesha wachezaji wawili ambao walifungiwa na Shirikisho la Mpira. Ikiwa majibu hayo yatajibu na uchunguz ukakamilika kwa wakati kuna uwezekano mkubwa wa Simba kupewa pointi tatu za mezani ndani ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KIGEREGERE Wa YANGA ALIA Baada Ya SARE na POLISI TZ - "HATUMTAKI KOCHA, AONDOKE".. Baada ya sare ya 1-1 kati ya Timu ya Polisi Tanzania na Yanga mashabiki wametoa hisia zao kuhusiana na mwenendo wa timu yao ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: COASTAL UNION vs YANGA SC ( 2 - 1 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa MKWAKWANI.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
USIPIME MAZOEZI YA SIMBA ya MWISHO KUELEKEA KUIVAA AL MEREIKH KIKOSI cha SIMBA Kimefanya mazoezi yake mara baada ya jana kuvaana na JKT Tanzania katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
TIZI la MAKIPA wa SIMBA, WAMKOSA AISHI MANULA, KAKOLANYA, ALLY SALIM WAJIPANGA KIKOSI cha SIMBA Kimefanya mazoezi yake mara baada ya jana kuvaana na JKT Tanzania katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
KICHUYA Aimwagia SIFA SIMBA Kuifunga AL AHLY, Atoa KAULI ya KIBABE Kuhusu NAMUNGO KUFUZU... KIKOSI cha klabu ya Namungo leo kimefanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho Afrika, licha ya kupokea kipigo cha mabao (3 - 1) kutoka kwa Club Desportivo 1º de Agosto ya Angola. Namungo wamefanikiwa kutinga hatua hiyo kwa matokeo ya jumla ya ushindi wa mabao 7-5, kufuatia ushindi wa mabao (6 - 2) walioupata katika mchezo wa kwanza uliopigwa Februari 21, mwaka huu. Namungo sasa inajiunga na timu za Raja Club Athletic ya Morocco, Pyramid FC ya Misri na Nkana FC ya Zambia kukamilisha timu nne za kundi D la michuano hiyo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
MANARA Amlipua SENZO, ISHU ya KWENDA HOTELINI kwa AL AHLY - "KWANI Asingeonana NAE ANGEKUFA?" Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ametinga kwenye studio za Global Radio leo Februari 24, ikiwa ni siku moja tu imepita baada ya jana kuwafunga Al Ahly katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline