EastGoalsTV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Azam FC waondoka na alama tatu muhimu kutoka kwa Ruvu Shooting
Azam FC bado wapo katika nafasi yao ya pili, wakifuatiwa kwa ukaribu na Yanga SC.
Simba SC wanaondoka na alama tatu muhimu katika mechi ngumu dhidi ya Azam FC, Baada ya kuinyuka 3-2 na kuendelea kujikita kileleni mwa Ligi. #simbasc #azamfc #vpl