Azam FC bado wapo katika nafasi yao ya pili, wakifuatiwa kwa ukaribu na Yanga SC.
Tanzania Prisons yaendeleza ubabe wake mbele ya Simba SC, wagawana nao pointi.