Content removal request!


Azam FC 2-3 Simba SC | Magoli yote haya hapa | Vpl Tanzania

Simba SC wanaondoka na alama tatu muhimu katika mechi ngumu dhidi ya Azam FC, Baada ya kuinyuka 3-2 na kuendelea kujikita kileleni mwa Ligi. #simbasc #azamfc #vpl