SimuliziNaSauti's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
TUFOLLOW KWENYE MITANDAO YETU YA KIJAMII Facebook https://www.facebook.com/simulizinasauti Instagram https://www.instagram.com/simulizinasauti/ Twitter https://twitter.com/simulizinasauti TikTok https://www.tiktok.com/@simulizinasauti
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amevuliwa mkanda aliokuwa anaushikilia wa Africa Boxing Union (ABU) wa ubingwa wa uzito wa super-welterweight. Hatua hiyo imekuja baada kupokinywa mkanda wake mwingine wa ubingwa wa Intercontinental wa World Boxing Federation (WBF) miezi kadhaa iliyopita.
Nini kilienda ndivyo sivyo kwa Ronaldino, mchezaji huyu bora wa soka kutoka kuivaa jezi nambari 10 mgongoni mpaka kuvaa namba 194 gerezani? Fuatilia makala hii
Makala hii inamzungumzia mtoto wa mchezaji nguli wa mpira wa miguu Cristiano Ronaldo ambaye ni mmoja wa wachezaji wadogo chipukizi wakubwa duniani akishikilia nafasi ya pili baada ya Arat Hossein