Manara TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
ALICHOKISEMA DICKSON JOB KUHUSU ZAWADI YA NG'OMBE KUWAFUNGA SIMBA KESHO KWA MKAPA
UTACHEKA ALLY KAMWE NA PRIVALDINHO WALIVYOWACHEKA AZAM FC KUCHEZEA KICHAPO DHIDI YA NAMUNGO FC
NAONGEA UKWELI YANGA HII YA GAMONDI NI BALAA WANICHUKIE TU SIMBA WENZANGU ILA UKWELI MZURI
ANGALIA MWIZI WA JEZI ZA YANGA ALIVYOKAMATWA KWENYE MADUKA YA GSM. #yangasc #yanga #pacome #mayele #hajimanara #gsm #jezi #mwizi #mwiziwajezizayanga #mwiziwajezi #wasafitv #wasafifm #simbasc #taayamtaa
SIKIA ALICHOKISEMA RICARDO MOMO KUHUSU GOLI LA PACOME / ATAWAUA MAKIPA WA TANZANIA / NI FUNDI SANA AMMWAGIA MAUWA YAKE #yangasc #pacome #manaratv
''Nimefurahi sana baada ya kupewa taarifa kuwa hii wiki itaitwa jina langu. Mimi kama mchezaji jukumu langu ni kucheza na sina aahadi nyingine yoyote kwa wananchi kwasababu hakuna anaefahamu kesho hivyo nawaomba wajitokeze kwa wingi kupata burudani siku ya jumamosi pale Azam Complex. Msimu uliyopita na msimu huu umekua tofauti kwangu niseme tu ni mapenzi ya mungu jitihada zangu ndio zinasababisha vitu vyote hivi mimi kuonekana Bora namshukuru sana mungu'-Aziz ki