|
Soka360's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“Stay Updated!.. For comprehensive coverage of Tanzanian soccer!contact: soka360tz@outlook.com” Report User |
#LigiKuu | Mtibwa Sugar wamefanya mazoezi yao ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya Mbeya City hapo kesho. Licha ya mvua lakini vijana wa Salum Mayanga walifanya mazoezi kama kawaida. Kipindi hiki maeneo mengi ya Tanzania yanakuwa na mvua kubwa.