|
Maulid Kitenge's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“HEAD OF SPORTS EFM RADIO&TV E” Report User |
Kikosi cha Mnyama Simba SC kitakachoanza dhidi ya Miamba ya Morocco Raja Casablanca katika mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi utakaopigwa katika dimba la Mohamed V, Casablanca nusu saa ijayo. #KitengeSports