|
Radio 47's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“Radio47 ni steshini inayokua kwa kasi sana inchini Kenya. Tegea Radi47 kwa habari tendeti, vipindi bomba na burudani tele. Hapa Ndipo!” Report User |
UPDATE: Murang'a Seal 1-0 Shabana Peter Ongechi asawazishia Shabana lakini mwamuzi asema alikua ameotea. #MikikiYaSpoti
Mashabiki wa klabu ya Kakamega Homeboyz leo hii wametembelea studio yetu; wameapa kuicharaza @tusker_fc kwenye fainali ya FKF Cup ugani Kasarani. @alikauleni #HapaNdipo