Mashabiki wa klabu ya Kakamega Homeboyz leo hii wametembelea studio yetu; wameapa kuicharaza @tusker_fc kwenye fainali ya FKF Cup ugani Kasarani. @alikauleni #HapaNdipo